Banner
Tuesday, June 26, 2012
Monday, June 25, 2012
Saturday, June 23, 2012
MISS DAR-INTER COLLAGE 2012

Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward ambaye pia ni Miss Ustawi 2012 akiwa na mshindi wa pili Jamila Hassan(kulia) na mshindi wa tatu Rose Muchunguzi(kushoto), baada ya shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam usiku huu.

TOP 5; Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward
BON VOYAGE PARTY @SAVANNAH & MUCH MORE
Ni baada ya final examz wiki ijayo 3 BROTHERS wameandaa party mbili za ukweli, 1 ni THURSDAY NIGHT kwa wanaomaliza Alhamisi na nyingine ni FRIDAY NIGHT kwa wote.
Hizi ni Party mahususi kwa wanaIFM kuagana na FINALISTS ila wote mnakaribishwa!
28June@Savannah Lounge
29June@MuchMore Club
Wednesday, June 20, 2012
Sunday, June 17, 2012
Wednesday, June 6, 2012
Pata T-shirt yenye LOGO hii...
Hiyooo... logo moja kwa woooote wanaoikubali I.T na Technology kwa ujumla, yani CORE i12 ni next level saaana ambayo hata intel hawajaigundua...ndo iliyopo INSIDE. Pata picha hiyo logo ndani ya white T au Blak T-shirt.
Inapatikana toka kwa vijana wa hapahapa IFM, kama umeikubali CHEKI na room 308 blok C... ni kila size na rangi pia.
Friday, June 1, 2012
MR AND MISS IFM KATIKA POOOZ
Mr na Miss IFM baada ya ushindi wakiwa na nyuso za furaha...
Wema Sepetu naye hakuwa nyuma, hapa alikua akipongeza washindi baada ya kuwapa zawadi... pembeni ni Vice President wa chuo IFM.
FINA REVOCATUS NDIYE MISS IFM 2012

Mshindi wa Redd’s Miss IFM 2012, Fina Revocatus(katikati) akiwa na Mshindi wa Pili, Jane Augustino (kushoto) na wa Tatu Theresia Issayamuda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal, Ubungo Jijini Dar..

Top five ya Miss Ifm 2012.

Top five ya Miss Ifm 2012.
Subscribe to:
Posts (Atom)