Banner

Wednesday, May 9, 2012


Uhandsome unampa urais CHARLES MICHAEL, IFM

Huyu ndie mgombea urais mwenye supporters wengi wasichana chuoni hapa wanaoonyesha dalili za kumpa ushindi, sababu ya msingi ya Bw.MICHAEL kumpita mwenzake sio sera tuu ni pamoja nakuwa "Handsome"

Upande mwingine tunae mgombea uraisi anayejulikana zaidi kama JEMBE, huyu ni Bwana KALINDAGA, EMMANUEL.  Naye ana wafuasi wengi walioweza kumpa kura na kupita katika uchaguzi wa mwanzo hapo Ijumaa tarehe 4/5/2012 na kuwa mpinzani pekee na mkubwa wa Bwana Michael.

1 comment:

  1. Inakuaje hapo, inamaana kuwa handsome ndo asigombanie uraisi au sera hanaaaa???

    ReplyDelete